Sale!

UTAJIRI UDUMUO

Original price was: Sh20,000.00.Current price is: Sh15,000.00.

Kitabu kizuri cha kikristo

  Ask a Question
Store
0 out of 5
Category:

Description

Je unajua utajiri udumuo ni mali ya Baba yetu wa mbinguni, na inawezekana kabisa kuupata (Mithali 8:18) ? Na pia je unajua kuwa asilimia kubwa ya wanaonekana matajiri leo, utajiri wao ni batili? Ukweli ni kwamba, ingawa matajiri hawa (wenye huu utajiri batili), wanaonekana kuwa wakifurahia maisha, lakini maisha yao yamejaa huzuni na hofu nyingi kutokana na:- (a) kumbukumbu za ndugu zao waliowatoa kafara ili kupata utajiri huo (b) kufuata masharti magumu na ya aibu ili tu waweze kubaki na utajiri huo.

Ukweli ni kwamba Mungu hutupatia nguvu ya kupata utajiri (Kumbukumbu 8:18), lakini pia ni mapenzi ya Mungu kuwa watakatifu wake (i.e. tuliokoka) tufanikiwe kwanza kiroho kisha tuwe na afya njema na pia tufanikiwe kiuchumi. Tatizo kubwa ni kwamba, wengi hawafahamu kuwa ni haki yao kufurahia utajiri wa Baba yetu mbinguni, ingawa pia wapo wanaofahamu hili, lakini hawako tayari kufuata maelekezo ya Mungu yaliyopo katika Mathayo 6:33 na Kumbukumbu 28:1. Hivyo basi, kozi hii imeandaliwa kwa ajili ya kulifundisha kanisa siri zitakazowesha kupata utajiri udumuo bila kupoteza utakatifu, na kwa hakika kama kanisa litapata utajiri huu, basi litaweza kufanya mambo mengi makubwa ili kuujenga ufalme wa Mungu hapa duniani. Napenda utambue kuwa katika kozi hii:-

  1. Utapa fursa ya kusoma (kwa njia ya mtandao) kitabu kiitwacho UTAJIRI UDUMUO kilichoandikwa na mwandishi Prosper Habona.
  2. Utapata fursa ya kuona mafunzo mbalimbali yaliyomo ndani ya kitabu hiki kwa njia ya video mbalimbali zilizorekodiwa kwa lengo la kukufundisha zaidi. Mafunzo haya yameandaliwa na kufundishwa na mwandishi mwenyewe.

NEEMA NA REHEMA ZA MUNGU ZIWE PAMOJA NAWE SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO, AMINA.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “UTAJIRI UDUMUO”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Store
Price
Details
MCHUZA (T) LTD
Original price was: Sh20,000.00.Current price is: Sh15,000.00.

General Inquiries

There are no inquiries yet.